Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA MAENDELEO BAINA YA SWEDEN NA TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wananchi raia wa Sweden na Tanzania, waliohudhuria sherehe hizo jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama kijarida chenye picha za matukio kuhusiana na sherehe hizo akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.