Habari za Punde

*MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KUPITIA RATIBA YA SHUGHULIZA BUNGELA LA MKUTANO WA 14 ULIOANZA LEO MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma leo.Kamati hiyo imekaa kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
Wajumbe wa Management ya Bunge ambao ni Maafisa wa Bunge wakifuatilia kwa umakini kikao hicho cha kamati ya Uongozi. Picha na Owen Mwandumbya 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.