Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Jeshi la Wanamaji, limefanikiwa kuwanasa Raia wa kigeni 12 kutoka Pakstan na Iran, wakiwa na shehena ya madawa ya kulevya wakisafirishwa kwa Jahazi kuelekea Zanzibar.
Watu hao wamekamatwa eneo la Bahari ya Indi wakiwa ndani ya Jahazi hilo ambapo hawakuwa na raia hata mmoja ambaye ni mtanzania huku ikielezwa kuwa mzigo huo ni shehena kubwa huenda kuzidi zote zilizokwisha wahi kukamatwa.
Kaa nasi habari zitawafiki kadri zitakavyozidi kutufikia.
No comments:
Post a Comment