Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la mauwa katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo ni sehemu maalum iliyotayarishwa kwa wageni mbalimbali wanaofika katika Makumbusho hayo,Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake Nchini India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika makumbusho ya Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India baada ya kuweka shada la mauwa (katikati) Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kushoto). Picha na Ramadhan Othman,India.


No comments:
Post a Comment