Habari za Punde

*KINANA, NAPE WAWAKUNA VIJANA WA JIJINI MBEYA WABEBWA JUU JUU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Vijana, katika Ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya, jana jioni ikiwa ni maadalizi ya shamrashamra za miaka 37 ya CCM zitakazofanyika Jumapili hii jijini hapa. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda.
 Vijana akiwa wamembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwakuna kwa hotuba yake, alipozungumza nao katika ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya
 Vijana hao wakimbeba pia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
 Kinana akiagana na vijana hao nje ya ukumbi baada ya kuzungumza nao.
 Baadhi ya mashabiki wa timu ya Mbeya City, wakimpungia mkono Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipopishana nao akiwa katika gari lake mjini Mbeya jana jioni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.