Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kufungua rasmi ofisi
ya IECO ukanda wa Afrika, yenye makao yake makuu Beijing China iliyofunguliwa
jijini Dar es Salaam Tanzania, leo Feb
5, 2014 kwa ajili ya kuwakilisha nchi za Afrika na tayari imeanza mchakato
katika kukabiliana na magugu maji katika Ziwa Viktoria sambamba na shughuli
nyingine zinazolenga utunzaji mazingira na namna ya kukabiliana na majanga
yanayotokana na athari za tabia nchi. Kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia
Sola Pawa ndogo maalum kwa kuchajia simu na kusomea baada ya kufungua rasmi ofisi
ya IECO ukanda wa Afrika, yenye makao yake makuu Beijing China iliyofunguliwa
jijini Dar es Salaam Tanzania, kwa ajili ya kuwakilisha nchi za Afrika. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akikabidhiwa
Nembo ya Taasisi hiyo iliyofunguliwa jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais Dkt Bilal akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi na viongozi wa
ofisi hiyo baada ya kufunguliwa rasmi, eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal, akiagana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, baara ya uzinduzi huo.





No comments:
Post a Comment