Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA TRA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.