Habari za Punde

*CCM YAHITIMISHA KAMPENI ZAKE KALENGA KWA KISHINDO

Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye  Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi. Picha na Bashir  Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.