Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANGA INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA AZAM FC MPIRA NI MAPUMZIKO

Kutoka Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, ambako kuna mtanange wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Azam Fc, Yanga inaongoza bao 1-0 lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Sasa Mpira ni mapumziko.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.