Habari za Punde

*WANANCHI WA KALENGA LEO WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI

 Polisi akilinda moja vituo vya kupigia kura wakati wa uchaguzi.
 Wananchi wakiwa kwenye kituo cha kupiga kura cha Kalenga A leo wakati wa upigaji kura, katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini. 
 Yosefa Cosmas akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku kwenye kituo cha kupigia kura cha Mangalale B, wakati wa uchaguzi huo 
 Josephine Myagile akitafakari kidogo baada ya kutumbukiza kura yake kwenye kisanduku katika kituo cha Kalenga B
 Msimamizi wa kituo cha kupigia kura cha Kalenga B, akimtafutia jina, Joseph Mdibule kwa ajili ya kupiga kura kwenye kituo hicho 
 Zaveri Alphonce (70) akijikongoja kwenda kupiga kura kwenye kituo cha  Kalenga A katika uchaguzi huo 

 Wazee wenye matatizo maalum wakisubiri kuitwa kupiga kura kwenye kituo cha Mangalale A, jimbo la Kalenga, wakati wa uchaguzi huo. 
 Watu kwenye kituo cha kupigia kura cha Mangalale A, wakati wa uchaguzi huo 
Mgombea wa CCM  Godfrey Mgimwa akizungumza na waandishi baada ya kukagua vituo kadhaa  vya kupigia kura, wakati wa uchaguzi huo. Picha zote Bashir Nkoromo 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.