Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa pambano lao la kuwania ubingwa wa UBO linalotarajia kufanyika Mei 24 mwaka huu, katika ukumbi wa Friends Corner Manzese. Katikati ni Katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta.
Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa pambano lao la kuwania ubingwa wa UBO linalotarajia kufanyika Mei 24 mwaka huu, katika ukumbi wa Friends Corner Manzese.
No comments:
Post a Comment