Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA WA KMKM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akimvalisha Cheo cha Luteni usu  Abdalla Mohammed Mussa,wa KMKM katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa 97 (Special Duty)   mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akimvalisha Cheo cha Luteni usu  Said Mohammed Omar wa JKU katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa 97 (Special Duty)   mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja jana.
 Hawa ni kati ya Maafisa wanafunzi  97 waliohitimu mafunzo  ya kijeshi wakitoa salamu ya heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mara alipowasili katika uwanja wa Mafunzo kambi ya Kama Wilaya ya magharibi Unguja leo kuwafungia mafunzo yao.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu KMKM alipowasili katika kambi ya KMKM Kama katika ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) leo,(katikti) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya hesha ya gwaride la Maafisa wakati ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Maalum wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akihutubia wakati alipowatunuku  Kamisheni Maafisa Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya awali katika kambi ya KmKm kama leo,alipoyafunga mafunzo hayo katika mkupuo wa saba (7) wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.