Dakika 30 za nyongeza zimemalizika hakuna mbabe kati ya Brazil na Chile, sasa timu hizo zinaingia katiia hatua ya kupigiana penati ili kupatikana mshindi atakayetangulia kusubiri mshindi kwa mechi yapili.
BAFANA BAFANA YAANZA VYEMA AFCON, YAICHAPA ANGOLA 2-1
-
TIMU ya Afrika Kusini imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya jirani zao,
Angola katika mchezo wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON)...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment