Habari za Punde

*MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA YANGA MAXIO MAXIMO JIJINI DAR LEO

Maximo akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari waliofika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo kumpokea.
mashabiki wa Yanga wakimsindikiza na wengine wakimpokea wakati alipowasili kwenye Klabu ya imu hiyo iliyopo mitaa ya Jangwani, leo .

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.