Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Muongozaji , Hija Salehe ni Filamu yenye mafunzo, Ucheshi na vihoja ndani ya wasanii
wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi . Cheki kionjo cha filamu hiyo, inayokwenda kwa jina la NIMPENDE NANI, inayotarajia kutua Sokoni hivi karibuni.
Ndani yake utakutana na wasanii kama Omary Abbas, Mustapha Khatibu, Nicolas Gabino, Shamim na wengineo wengi. KAA TAYARI
No comments:
Post a Comment