Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo. Ramadhan Othman, Ikulu.


No comments:
Post a Comment