Wasanii ambao watazipiga siku hiyo Clouds 112 (kushoto) akimchimbia mkwara JB ambaye aliishia kumuangalia kidharau na kusema anasubiri siku ya Agosti 8 katika Uwanja wa Taifa.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) akiwawa na mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao.
Clouds 112 (kushoto) akizungumzia mpambano wake wa masumbwi na JB.
Khalid Chokoraa wa Bendi ya Mapacha watatu, akizungumzia pambano lake la masumbwi siku hiyo.
Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (T.P.B.O) Yasin Abdallah (kushoto) akizungumza.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment