Hili ndilo gari lililokamatwa jana usiku likiwa na miili ya watu iliyoelezwa idadi yake kuwa ni 20, ikiwa vipande vipande ikiwa haina ngozi, wakati likienda kumwaga katika Dampo huko maeneo ya Bunju.
Hii ndiyo miili iliyokutwa katika viroba hivyo na ngozi zao zilizochunwa na Grovu zilizotumika katika shughuli hiyo.
Hivi ukikutana na hali hii katika Dampo utahisi nini, hata kama ni iliyotumiwa na wanafunzi Vyuoni kujifundishia, ni uhalali kutupwa kienyeji kama hivi katika madampo????
************************************************
HABARI MPYA ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA:-
Imetolewa taarifa kuwa Miili hiyo iliyokamatwa jana usiku kuwa si miili ya Watanzania bali ni miili ya watu raia wa kigeni nchi za jirani waliokufa katika harakati mbalimbali.
Aidha imeelezwa kuwa miili hiyo imekuwa ikitumika kama kwa mafunzo 'Teaching Aids' katika Chuo cha IMTU, kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Katika sakata hilo hilo, vilikamatwa jumla ya viroba 80, pamoja na baadhi ya vifaa vinavyotumika kwa shughuli za upasuaji.
Nukuu ya mmoja kati ya wanafunzi wa Chuo cha IMTU.
"For a while our university administration imekuwa na matatizo mara kadhaa, miaka ya nyuma iliwahi kutokea Scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alionekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves nje ya hicho chumba cha mafunzo na upasuaji.
Sasa semester one ilimaliza kutumia hizo 'Dead body on march' na zikatakiwa zitupwe.
Na kwakuwa kifaa kilikua kibovu waliomba MUHAS wawasaidie ambapo inasemekana pia nao walisema kifaa chao kilikuwa ni kibovu (according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba Hindu Mandal wakatakiwa kutoa Sh. Milioni 7 na pesa hizo zikacheleweshwa kutolewa.
Leo umoja (jana) wa vyuo vya Madaktari Afrika Mashariki ulikuja 'for inspection' na kwakuwa hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..
''On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies" anamaliza kuelezea



That is unexceptable how can you do such a thing we have a number of hpspitals in dar with incenerators why not go round and ask for the service eg ccbrt, muhimbili but you decide to do that. You better show respect to dead bodies whether foreign or local. Mungu irehemu Tamzania
ReplyDeleteI hope justice will take care of it self so that it will not happen again
ReplyDeletemuhimbili demanded for 5m to allow IMTU to use their incinerator, IMTU decided to dump bodies to save cost.
ReplyDelete