Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano ili kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa watanzania waishio Reading nchini Uingereza kabla ya kuzungumza nao Julai 10, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Reading, Hussein Chang'a.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza Julai 10, 2014.
No comments:
Post a Comment