Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nne kulia) akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.
Sehemu ya waliohudhuria katika  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.
Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.