Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AONANA NA MWANA WA MFALME WA JAPAN PRINCE AKISHINO NA MKEWE PRINCESS AKISHINO IKULU LEOeo

 Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Simba waliotengenezwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
 Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Jakaya Mrisho Kikwete kartika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014. Wengine ni WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.