Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UJENZI WA BARABARA YA KL 78 YA PERAMIHO-MBINGA NA KUZINDUA STENDI YA MABASI YA MKOA WA RUVUMA

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuweka rasmi jiwe la Msingi na kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma jana.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana Servasius Likwelile, mwenyekiti  wa mfuko  MCC Tanzania Bwana Bernard Mchomvu. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.