Habari za Punde

*THOMAS MASHALI, MADA MAUGO WASAINI MKATABA KUZICHAPA NANE NANE UWANJA WA TAIFA

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo (kushoto) na Thomas Mashali,  baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya Global Publisher.
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa Taifa Dar es salaam wakati wa Tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.