Habari za Punde

*JK MGENI RASMI MASHINDANO YA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapopi chani) jijini Dar es Salaam,leo kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
 Kutoka (kushoto) ni Katibu Mkuu wa  TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu  wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumui ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda Mkuu wa Uhamasishaji na Matangazo wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki  (FEASSSA) Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumui ya  Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahi za wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
 Picha zote na Frank Shija, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHVUM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.