Habari za Punde

*JEBBY KUACHIA NGOMAMPYA WAKATI WOWOTE


Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT, Jebby, anatatajia kuachia wimbo wake mpya e kuanzia sasa.

Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu, Jebby alisema kuwa alikuwa kimya kuwa muda mrefu kutokana na changomoto za kimuziki na maisha ya nje muziki.

Hata hivyo Jebby, aliongeza kuwa wimbo wake mpya ameurekodia katika studio za Mazuu Records.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.