Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa
nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma za tiba. Kongamano
hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam,
limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka nchi mbalimbali za Afrika na
nje ya Afrika.

Baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia katika
ufunguzi wa Kongamano hilo leo Novemba 26, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi waratibu wa Kongamano hilo wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach leo Novemba 26, 2014 kwa ajili ya
kufungua rasmi kongamano hilo.
Mwakilishi wa WHO, akizungumza kabla ya mgeni rasmi..
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya viongozi waratibu wa kongamano hilo, baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment