Habari za Punde

*TANZANIA YAPATA UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Wazari wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa KICC baada ya kutangazwa kukabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali.
Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akijumuika na washiriki wenzake katika mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.