Habari za Punde

*MHE. ABDULLAH MWINYI ASHEREHESHA MAZOEZI YA TMK JOGGING

 Mh. Abdullah Mwinyi (wa pili kulia) akishiriki Jogging na baadhi ya viongozi wa Temeke Jogging Association, wakati alipokuwa mgeni katika mbio hizo zilizofanyika jana asubuhi Mbagala.


 Akishiri mazoezi ya viungo.
 Akifuatilia ratiba zilizokuws zikiendelea mahala hapo baada ya mazoezi.
Sehemu ya vijana washiriki wa Jogging wa kikundi hicho wakimsikiliza mgeni rasmi wakati akizungumza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.