Habari za Punde

*MATUKIO KATIKA PICHA MTANANGE WA SIMBA WSKISHINDA 5-0 DHIDI YA TZ PRISONS

 Beki wa Tanzania Prisons akichuana na mshambuliaji wa Simba. Katika mchezo huo Simba ilishinda mabao 5-0.
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Tanzania Prisons 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
 Beki wa Simba, Mohamed Hussein, akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mohamed Hussein wa Simba akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, Lugano Mwangama

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.