Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja
na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager
Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi
mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet
Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia
March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa
VODACOM TANZANIA (wadhaini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM na SERENA
HOTEL.
ALBINISM SPORTS CLUB NA TASACI WASHIRIKIANA KUANDAA MECHI YA KIRAFIKI NA
TIMU YA BUNGE ITAKAYOCHEZWA JUNI 6
-
ALBINISM Sports Club yenye Makao Makuu yake jijini Dar es Salaam kwa
kushirikiana na Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TASACI),
imeandaa mec...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment