Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa
nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya
mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari
Tanzania (MCT), Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini
waliofanikisha hafla hiyo, iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena
Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa
Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg.
Kajubi Mukajanga (wa pili kulia) akizungumza jambo na baadhi ya Wamiliki wa
Blogs Tanzania,waliokutana pamoja leo kwa lengo la kufahamina na kuunganisha
vyema umoja wao.
Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampuni ya Simu ya
Vodacom Tanzania ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu,Kelvin Twissa akizungumza
machache katika hafla hiyo.
Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini,Ankal
Issa Michuzi akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana
kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,jijini
Dar es salaam.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wamiliki wa Blogs.
Baadhi ya Mabloggers wakishow love....
ya pamoja kwa baadhi ya Wanablog na wadhamini
wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment