Habari za Punde

*19 WAZIKWA KABURI LA PAMOJA, ZITTO KABWE AHUDHURIA MAZISHI

 Waombolezaji akiwemo Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, wakishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali ya Basi la Roli, juzi. Maziko hayo yalifanyika jana Mkoani Morogoro. Jumla ya marehemu 19 waliofariki kwenye ajali hiyo walizikwa katika kaburi moja kutokana na kutotambulika na ndugu na jamaa zao na miili hiyo kuharibika.
 Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe ajaanza kuhutubia.
 Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi, jana.
 Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana.
Sehemu ya wananchi wa mji wa Morogoro waliojitokeza kwenye mkutano huo jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.