Habari za Punde

*AJALI NYINGINE YA BASI YAJERUHI HUKO KIBITI

 Ajali nyingine imetokea leo majira ya mchana maeneo ya Kibit Lindi, ajali hiyo ni ya basi la Gament linalofanya safari zake Dar, Lindi, Masasi na Nachingwea.  Chanzo cha ajali hiyo ni dereva aliyekuwa akijaribu kumkwepa mwenda kwa miguu ambaye imeelezwa kuwa alionekana ni punguwani wa akili.
Polisi wakiwa eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.