Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.
MWAKINYO AMCHAPA MNIGERIA KWA KO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BONDIA wa Kimataifa Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi
wa pambano lake dhidi ya mpinzani wake Mnigeria,...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment