Kaimu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akifungua Warsha ya
kukamilisha Mpango kazi wa kuhuhisha masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika
maeneo ya Pwani ya Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika
Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo na inahusisha wadau kutoka Vyuo Vikuu, wadau wa
maendeleo na Manispaa za
Dar es Salaam.
Mratibu wa Mradi wa
Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya pwani ya Dar es Salaam Mhandisi
Ladislaus Kyaruzi (kulia) akifuatilia hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Mgeni Rasmi
(hayupo pichani). Kushoto ni Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu
wa Rais Dkt. Patrick Ndaki.
Kaimu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete akiwa katika picha ya pamoja
na wataalamu waliohudhuria Warsha katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo.
Washiriki wakiwa
katika vikundi wakipitia na kurekebisha Mpango kazi.
Washiriki wakiwa
katika vikundi wakipitia na kurekebisha Mpango kazi. Picha na Lulu Mussa- Afisa Habari - Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment