Habari za Punde

*BARABARA YA MSIMBAZI IMEFUNGWA KWA MUDA

Barabara ya Msimbazi imefungwa kwa muda ili kupisha ujenzi wa barabara hiyo kuanzia kwenye Taa za kuongozea magari za Fire hadi Kituo cha Polisi cha Msimbazi, pamoja na njia zote zinazoingia barabara hiyo, hivyo madereva mnaohitaji kuelekea maeneo haya ama Kariakoo mnatakiwa kutumia njia ya Shule ya Uhuru ama inayotokea Mnazi mmoja na kuingia vichochoro vinavyotokea Soko la Kariakoo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.