Mayweather akiwa katika mazoezi makali ya kujiandaa na pambano hilo linalotarajia kufanyika Mei 2, Las Vegass Marekani.
Matangazo ya pambano hilo yakiwa katika baadhi ya majengo marefu ya mitaa ya jiji la Marekani.
Mayweather, akijifua
Maywether akiwa amevaa miwani yenye picha ya Pacquiao.




No comments:
Post a Comment