Eneo hili lilizinduliwa mwaka jana na Makamu wa Rais wa China kwa ajili ya kuanza mradi wa ujenzi wa Ofisi za Ubalozi wa China, lakini hivi ndivyo eneo hili linavyoonekana baada ya kuondolewa mabati yaliyokuwa yamezungushiwa eneo hili na kuruhusu magari kuegeshwa kwa kutozwa pesa, kama avavyoonekana kijana anayehusika na kutoza ushuru katika eneo lisilomhusu hapa akisubiri kuelekeza magari kuegeshwa.
Hivi ndivyo linavyoonekana eneo hili kwa sasa baada ya mabati kuondolewa.
Sasa ni maegesho ya magari.....



No comments:
Post a Comment