Habari za Punde

*MABLOGGER WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA TBN

Mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akipokea fomu ya kujiunga rasmi na Chama cha Umoja wa Mablogger Tanzania TBN, kutoka kwa Muhidin Issa Michuzi jijini Dar es Salaam. Katikati ni Cathbart Kajuna.
Katibu wa TBN Shamim Mwasha, akipokea pesa kutoka kwa Jestina George, kiasi cha sh. 50,000 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kujiunga rasmi na chama hicho TBN.
Shamim, akipokea pesa kutoka kwa Muhidin Issa Michuzi, kwa ajili ya kuchukua fomu ya kujiunga rasmi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.