Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Balozi wa Swiden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati
alipowasili kwenye Taasisi ya ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,
jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kimataifa la
Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia, yaliyoanza leo
jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika
na washiriki kutoka Vyuo 15 vya nchini Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili
kwenye ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, jijini
Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kimataifa la Mafunzo ya
pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia, yaliyoanza leo jijini Arusha.
Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki
kutoka Vyuo 15 vya nchini Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kimataifa la
Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia, yaliyoanza leo
jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika
na washiriki kutoka Vyuo 15 vya nchini Sweden.
Sehemu ya washiriki wa kongamano hilo, walioshiriki wakimsikiliza Mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo, baada ya ufunguzi
rasimi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, baada ya ufunguzi . Kushoto
ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela, Prof. Burton Mwamila (wa pili kulia)
ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Hasna Mwilima, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, katika hafla hiyo.












No comments:
Post a Comment