Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono
kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini
Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama, Davis Mwamunyange .

:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa heshima
wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua
gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais Jakaya wakati akiingia uwanjani hapo.
Sehemu ya wageni waalikwa... KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA SHEREHE HIZI KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:
Post a Comment