Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8) mshindi wa
jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT),
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, Mkinga Mkinga, wakati wa hafla hiyo
ya utoaji tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, jana usiku Aprili 24, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari,
iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni kumi (M. 10) Mwandishi wa habari wa
siku nyingi mkongwe, Generali Ulimwengu, wakati wa hafla hiyo ya utoaji tuzo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana usiku
Aprili 24, 2015. Kushoto ni Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji Mstaafu
Robert Mihayo na (kulia) ni Mke wa Generali Ulimwengu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo mshindi wa pili wa
jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT),
Mwandishi wa habari wa Gazeti la The Citizen, Lucas Liganga, wakati wa hafla
hiyo ya utoaji tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
picha ya pamoja na wanahabari waliopata Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa habari,
zilizotolewa jana usiku Aprili 24, 2015 wakati wa hafla hiyo iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na wanakamati wa maandalizi wa hafla hiyo baada ya
kumalizika hafla hiyo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam jana
usiku.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Nipashe, Ramadhan Mbwaduke, akipokea Tuzo.
Mtangazaji wa Redio Mlimani, Tuma Dandi, akipokea Tuzo ya Habari za Afya.
Mpiga Picha wa Nipashe, halima Kambi, akipokea Tuzo ya mshindi wa pili wa Picha bora.
Deodatus Balile, akipokea Tuzo...
tangazaji wa Redio Afya, akiwa na Tuzo na zawadi zake baada ya kukabidhiwa. KWA PICHA ZAIDI ZA HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA EJAT BOFYA READ MORE
John Chacha wa ITV (kushoto) na Hamis wa Chanel Ten, wakisubiri kutangazwa mshindi katika kategoli yao.
Mwandishi Mkongwe, Generali Ulimwengu, akizungumza baada ya kukabidhiwa Tuzo yake na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Mwandishi Mkongwe wa siku nyingi, Generali Ulimwengu na mkewe, wakifuatilia wasifu uliokuwa ukisomwa ukumbini humo kabla ya kukabidhiwa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha ya Uandishi wa Habari iliyotukika.
Mwandishi wa Gazeti la Nipashe akikabidhiwa Tuzo yake....
Mwandihi wa gazeti la Mwananchi, akikabidhiwa Tuzo yake.
Wa Mwananchi akiwa na Tuzo yake baada ya kukabidhiwa.
Richard Makore wa Nipashe, akipokea Tuzo....
Mshindi wa habari za Ukimwi....
Moshi Lusonzo wa Nipashe akipokea Tuzo....
Kitabu wa The Guardian, akipokea Tuzo....
Humphrey Shao, wa Gazeti la Mtanzania akipokea Tuzo.
Sanura Athanas wa Gazeti la Nipashe akipokea Tuzo.
Wakati Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwasili ukumbini hapo.

No comments:
Post a Comment