Patrick Kluivert, akiwania mpira na Juma kaseja, wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Veteren wa timu Barcelona na Tanzania uliochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Barcelona ilishinda mabao 2-1.
Waandishi wa habari wakishow love na Kluivert.
Kluivert akisaini kwa mashabiki wake....
Kluivert akisaini katika kiatu cha shabiki wake.
Mashabiki hawa wote walikuwa wakihitaji saini ya Kluivert.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE




















No comments:
Post a Comment