Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE JIJINI DAR LEO

 Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaoshiriki mkutano unaohiusu lishe bora unaoratibiwa na Sun Lead Group's Visioning Sub Group (VSG) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.