Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo, Josephat
Gwajima (wa tatu kushoto) akishuka ngazi za Kituo cha Polisi cha Kati wakati akitoka kituoni hapo baada ya kuhojiwa na jeshi la Polisi, leo mchana.
Kamanda Silo, akizungumza na baadhi ya wafuasi wa Gawjima waliofika katika Kituo cha Polisi cha Kati kusikiliza kesi ya Kiongozi wao
leo.
Baadhi ya wafuasi wa Gwajima wakimsubiria kiongozi wao nje ya Kituo cha Kati karibu na Stesheni ya Treni baada ya kuamuriwa kuwa mbali na kituo hicho.
Gwajima, akiongozana na msaidizi wake na baadhi ya Mawakili wake baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi.
Askofu Gwajima, akizungumza na Waandishi wa habari baada ya mahojiano hayo nje ya Kituo cha Polisi cha Kati. Picha na Jay Jay
No comments:
Post a Comment