Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA TRA IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na ujumbe wa Bodi TRA baada ya mazungumzo yaliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar  leo asubuhi (kushoto)  Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu ( katikati) Rished Bad TRA Dar es Salaam. Picha na Ikulu. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.