Wanafunzi wa Shule ya Msingi Maktaba wakicheza ngoma wakati wa sherehe za Maazimisho ya Kilele cha Siku ya Elimu Wilaya ya Ilala na Kilele cha Maadhimisho ya
Mazingira kwa Shule za Msingi na Sekondari za Manispaa ya Ilala 'Mazingira Bora Kwa Elimu
Bora'.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Diamond, Hashimu Semvua, akikabidhiwa Tuzo ya kwanza ya Mazingira ya Kata ya Gerezani Manispaa ya Ilala, na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Mkuu wa Wilaya Ilala, Raymond Mushi, akifunga rasmi Siku ya Elimu na Kilele
cha Maazimisho ya Mazingira Shule za
Msingi na Sekondari Manispaa ya Ilala.
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akisikiliza maelezo kutoka kwa mwanafunzi Fatuma Omari mwanafunzi wa kidatu cha pili shule ya Sekondari Benjameni Mkapa, wakati alipokuwa akitembelea maonyesho ya Sayansi ya wanafunzi hao katika sherehe hizo za kilele cha Siku ya Elimu Wilaya ya Ilala. Aliyeshika Maiki ni Mwalimu Elizabeth
Mapela wa elimu maalum.
Mkurungezi wa Manispaa ya Ilala Isaya Mwangurume, akimkaribisha mgeni rasmi (kushoto kwake) Kulia ni Mwenyekiti wa Uchumi na Hunduma za Jamii Manispaa ya Ilala, Angel Malembeka.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Diamond, Hashimu
Semvua, akipongezwa na walimu wenzake baada ya kupokea Tuzo ya kwanza ya Mazingira ya Kata ya Gerezani Manispaa ya Ilala. Picha na Miraii Msala
No comments:
Post a Comment