Mkurugenzi
wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard
Kayombo akitoa neno kuwakaribisha wageni katika mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa
Vyuo vya Kodi Afrika uliohudhuriwa na wajumbe zaidi ya 50 kutoka katika taasisi
za kodi barani Afrika, Mkutano huo umeandaliwa kwa ushirikiano wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) na Taasisi za Kodi Afrika (ATAF), leo Jijini Dar es
Salaam.
Wakuu
wa vyuo vya uongozi wa Kodi Barani Afrika wakiwa katika picha ya pamoja. PICHA
NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

.jpg)
No comments:
Post a Comment