Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa Benki tayarijiwa ya Walimu, Herman Kessy, (kushoto) akiwaonyesha Wageni rasmi, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa pili kulia) na Rais wa chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Gratian Mukoba, namna ya kunua hisa kupitia simu ya mkononi, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Benki Tarajiwa ya walimu, uliofanyika leo mchana jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikai za Mitaa TAMISEMI, Kassim Majaliwa, akizungumza wakati akifungua rasmi mkutano huo wa uzinduzi wa Benki Tarajiwa ya Walimu.
Rais wa chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Gratian
Mukoba akimkarisha mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa uuzwaji wa Hisa kwa mara ya kwanza wa benki Tarajiwa ya Walimu.
Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi huo wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na kutoa hotuba yake ya ufunguzi huo. Picha na Miraji Msala wa Sufianimafoto.com
No comments:
Post a Comment