Mwenyeketi
wa Taifa wa Jumiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALATI), Meya wa Jiji la Dar es
Salaam, Didas Masaburi, akifungua mkutano mkuu wa 31 wa ALATI, jijini Dar leo. Kulia aliyekaa ni
Prof Suleiman Ngwara wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji
wa ALATI, Abraham Shamumoyo, akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo.
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano wa 31 ALATI wakimsikili Meya wa Dar es Salaam Didas
Masaburi alipokuwa akifungua mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa 31 ALATI wakimsikili Meya wa Dar es Salaam Didas Masaburi alipokuwa akifungua mkutano huo. Picha na Miraji Msala wa Sufianimafoto.com
No comments:
Post a Comment